Translate this blog in your favourable language
My pager view
Monday, August 2, 2010
nilikua napiga book ndo mana kimya kingi mana najua kila siku siishi visababu ila try 2 4 giv again and again
steve used to say...kila ki2 kinaanza polepole ila mi najitahidi kwenda fasta ila niskilizieni mwana wenu nazidi kuwaletea mambo mazito ila unajua unapoamua kufanya kitu lazima na mikakati iwepo ili mwisho wa siku kila kitu kiwe kwenye mstari naomba uvumilivu kwani kila kilicho bora kimeundwa na mimi pia naunda changu bila shaka mtafurahia ujio wangu ... thanksss,..
Thursday, July 22, 2010
tuwe pamoja ila udikteta unasaidia wakati mwingine ila sasa minaona hauna maana
steve used to say...old is gold but if there old but if there no old, old is not gold is old
jana wakati wagombea wakirudisha fomu kuna kituko hapa yani kifupi ukweli unauma sana coz bakari mwapachu kaambiwa punzika kama wakina mzindakaya na wengine na uwapishe damu changa vijana . mzee akageuka mbogo na kuanza kuongea kwa jazba na kiukweli ukweli unauma mimi kama steve naona apunzike amchoka na ni bora awaachie vijana waendeleze gurudumu hili la uongozi,,....

Wednesday, July 21, 2010
hali ni mbaya lakini tutambue kua wizi mbaya ona huyu ameishia hapa
steve used to say...wizi mzuri pale ambapo unaiba halafu hukamatiki ila siku ukinaswa utajuta kuna mmoja aliambulia kuchomwa moto hivi juzi na mara nyingi huwatokea watu wadokozi kama huyu..
Wednesday, July 7, 2010
kama kawaida nataka kuwaacha kidogo ila sio bila kuwang'arisha macko
nilipotea ila majukumu yanaweza kuwa chanzo ila nazidi kusihi tuvumiliane
steve used to say...kila anaye samehe hupata msamaha najua mnanisamehe kila ninaposihi ila kama kawaida woza inaendelea jaribu kupitia steven and world cup updatesfor more info.
Subscribe to:
Posts (Atom)