Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, July 21, 2010

hali ni mbaya lakini tutambue kua wizi mbaya ona huyu ameishia hapa

steve used to say...wizi mzuri pale ambapo unaiba halafu hukamatiki ila siku ukinaswa utajuta kuna mmoja aliambulia kuchomwa moto hivi juzi na mara nyingi huwatokea watu wadokozi kama huyu..

Wednesday, July 7, 2010

kama kawaida nataka kuwaacha kidogo ila sio bila kuwang'arisha macko







steve used to say...ukiangalia unanenepesha macho so take this opprtnty and make your  eyes shine...

nilipotea ila majukumu yanaweza kuwa chanzo ila nazidi kusihi tuvumiliane

steve used to say...kila anaye samehe hupata msamaha najua mnanisamehe kila ninaposihi ila kama kawaida woza inaendelea jaribu kupitia steven and world cup updatesfor more info.

Friday, July 2, 2010

nilipotea lakini bado nipo nanyi na kombe la dunia kama kawa

steve used to say...kimya kingi kinamshindo mkuu na hili litadhihilika muda sio mrefu kwani kimya changu kitaibuka na jambo moja kubwa sana na bila shaka kila atakaeliona atafurahi ama kushangaa na mengine mengi

Tuesday, June 22, 2010

miss tnga nao walifunika kiasi chake kifupi ilibamba japo si sana

steve used to say... miss tanga 2010 ilkua bomba sana na ilivutia kiukweli ila ripoti muhimu kuhusu miss tanga iko njiani inakuja wapo waliotoa maoni yao ila cha ajbu wengi walimpenda ila pia wapo waliosema katika kupigania miss tanzania hatafika popote je nini kitatokea endelea kufuatilia blog hii tunakusanya maoni ya wadau mbalix2... wewe pia unaweza kutoa maoni yako ...