Translate this blog in your favourable language

My pager view

Friday, June 18, 2010

NA SIWEZI KUCHA LEO IPITE HEBU WAONE HAWA..

steve used to look...

diamond kiukweli wmeosha sana

steve used to say...kukutana na watu maarufu na kupewa ushauri kama aliopewa na N"DOU..SIO JAMBO DOGO..

ebwana ee wabngo makatili kumbe

steve used to say...mi naona hata wanaoiba kazi za wasanii wafanye hivi au sio wadao..

Thursday, June 17, 2010

yaani kiukweli nazidi kupata mzuka wa world cup yaani woza

mambo ya woza ndio ambayo yanazidi kuifanya dunia inazizima kwa kua kila mtu hasa wale ambao ni mashabiki wa mpira kama mimi masikio macho pamoja na kiasi cha akili kipo sauzi kwa sasa ni jambo muhimu sana iwapo utalifanya muhimu pia ila kwangu mimi ni muhimu sana na napenda sana mpira bila shaka ni kama weweam yule.....

Wednesday, June 16, 2010

world vision shirika la kijamii linalosaidia watoto

hakika kila kitolewacho kama zawadi huwa bora siku zote nalikubali sana hili shirika la worldvision kwa mchango wao mkubwa kwa jamii mpaka leo asilimia kubwa ya watoto wote huko maeneo ya vijijini wamepata udhamini kutoka japan na wanafurahia sana udhamini huo.. yapo mengi na nina andaa makala maalum ya world vision na mustakabali wa watoto wetu.. 2wemo tuchangie na tutoe mawazo yetu na pia kuomba dua zetu ili mambo yaendelee kuwa sawia.......