
Translate this blog in your favourable language
My pager view
Monday, May 31, 2010
mashango kibwana ansema akina dada jifunzeni kusema no.

nilikuta mtum mmoja akaniambia maneno ya ajbu ajabu hebu soma.........

ikiwa leo tunaaga mwezi may kuna mapya yaliozoeleka.
katika pita zangu ndani ya tanga mana ndioskani la ukweli nina viripoti flaniflani ila chaajabu wenye breaking new wanataka kunitakrima nisiwatoe katika blg yangu.. sasa minasema kama vipiipo siku ntawaumbua yani mtu unazini mpaka unafumaniwa bahati nzuri picha zaoninazo ipo siku nitazitoa kiana na kwataarifa yaosipend takrima at all.ila hali yangu mfukoni sio nzuri ndo mana leo naipotezea ila zikijaa mambo hazarani kakuna cha nini wala cha nini...
Friday, May 28, 2010
mambo ya pwani
pwani bwanaaa kuna vijimambo sio kitoo yaani wanawake wanashughulika kuliko vijana kama huamini pita barabarani wafanya usafi wote ni akina mama vijana na akina baba wapo kwenye kahawa ama kijiweni ila tatizo hili lipo sana mkoani tanga kama huamini chunguza utayaona..
Thursday, May 27, 2010
wanawake na nafasi yao ktk jamii na namna wlivyo na mchango mkubwa kwa jamii..
wanawake huwa hawapewi vipaumbele vingi sana katika maisha ya kawaida ya kila siku ila katika pipitapita zangu nilikutana na msichana aitwae Neema wa nguvumali tanga akaniambi kufanya mwanamke awe sawa na mwanaume hiwezekani kwasababu mungu anamipaka yake binafsi. ila kazi yoyote awezayo kuifanya mwanaume bila shaka hata mwanamke anaouwezo wa kuifanya kama alivyoifanya mwanaume. akasema pia wanawake wakiwezeshwa wanaweza inabidi wapewe nguvu na uwezo wakufanya wasichukuliwe kama watu wa kawaida ambao kazi yao nikulea familia halfu iwe basi... mimi binafsi nilipenda ujasiri aliokuwa nao NEEMA akiamini ipo siku mambo yatawanyookea akina mama...
Subscribe to:
Posts (Atom)