Translate this blog in your favourable language
My pager view
Friday, May 28, 2010
mambo ya pwani
pwani bwanaaa kuna vijimambo sio kitoo yaani wanawake wanashughulika kuliko vijana kama huamini pita barabarani wafanya usafi wote ni akina mama vijana na akina baba wapo kwenye kahawa ama kijiweni ila tatizo hili lipo sana mkoani tanga kama huamini chunguza utayaona..
Thursday, May 27, 2010
wanawake na nafasi yao ktk jamii na namna wlivyo na mchango mkubwa kwa jamii..
wanawake huwa hawapewi vipaumbele vingi sana katika maisha ya kawaida ya kila siku ila katika pipitapita zangu nilikutana na msichana aitwae Neema wa nguvumali tanga akaniambi kufanya mwanamke awe sawa na mwanaume hiwezekani kwasababu mungu anamipaka yake binafsi. ila kazi yoyote awezayo kuifanya mwanaume bila shaka hata mwanamke anaouwezo wa kuifanya kama alivyoifanya mwanaume. akasema pia wanawake wakiwezeshwa wanaweza inabidi wapewe nguvu na uwezo wakufanya wasichukuliwe kama watu wa kawaida ambao kazi yao nikulea familia halfu iwe basi... mimi binafsi nilipenda ujasiri aliokuwa nao NEEMA akiamini ipo siku mambo yatawanyookea akina mama...
Tuesday, May 25, 2010
HAPPY OMARY AMEONA HILI LA TZ BILA UKIMWI,,
Anasema tanzania bila ukimwi haiwezeka kwani kuna gepu kubwa kati ya masikini na matajiri, wafanyakazi na viongozi. hivyo basi asili100 kubwa ya wa2 wenye hali ya chini, hasa wanawake kutafuta fedha kwanjia ambazo ni chanzo kikuu cha maambukizi ya ukimwi... ridhika
na ulicho nacho.. Happy omary,, TANGA.,.
Tilda anazungumziaje kuhusu tanzania bila ukimwi?
anasema tanzania bila ukimwi inawezekana kwasababu watu wakiwa waaminifu wakiwa na mpenzi mmoja au kutumia kondom ipasavyo inawezekana tanzania bila ukimwi ikawezeka kabisa .... ...TILDA HUMPHREY
TANGA TANZANIA...
Monday, May 24, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)