Translate this blog in your favourable language
My pager view
Saturday, September 18, 2010
hivi unahimili vipi pale unapokua katika mkusanyiko wa watu wengi?
palipo na watu wengi pana mengi kama wizi na mengineyo ila ni lazima ujue kukabiliana nayo kwanza uwe na mavazi ya kawaida yani ya heshima mf wasichana waliovaa nusu uchi walivuliwa nguo katka fiesta ya 2007 tanga na wahuni kwa mavazi yao ya ajabu so jaribu kuangalia suala la mavazi..pia usipende ibishoo au usista duu sio mzuri unaweza ukakupashida wakati mwingine...beware..
ndoa ni jambo muhimu kama ukijipanga kabla ya ndoa
steve used to say...kila anaeingia katika ndoa bila shaka amejipima akaona kuwa anaweza akahimili mikikimikiki ya ndoa ila ndoa nyingi huvunjika kwakua wawili hao inawezekana walimuakukurupuka kisha wakaoana mwishowe maji ya shingo wanakimbiana..
Tuesday, September 14, 2010
maisha ya vichekesho wakati mwingine yanatutia woga
kama unavyo muona huyu punda anaongea na simu sana hii inamaanisha nini kama sio mwisho wa dunia jamani mimi binafsi najua siku inakuja na lazima itatokea ila sasa woga ni muhimu kwakua hakuna asiependa ugali ndio mana
nasema hivi vichekesho wakati mwingine vinatuogopesha... hebu muone punda anaongea na simu.
nasema hivi vichekesho wakati mwingine vinatuogopesha... hebu muone punda anaongea na simu.
Monday, September 13, 2010
yaliyotokea kwa mwisho mwampamba yaendelee mpaka atakapo ipeperusha bendera ya taifa vema
hata kwa richad alikua akiingia kikaangoni mara kwa mara ila mwisho wa siku akaibuka kidedea na hii tuifanye kwa mwisho kwa kumpa support yakutosha hasa anapo ingia kikaangoni ni lazima tuungane pamoja kumpigia kura abaki ndani ya jumba la big braza au sio pamoja daima tutafika mimi nia wakwanza kupiga kura abaki bado wewe safari ijayo upige kura kama ataingia kikaangoni.........
Saturday, September 11, 2010
jamani idi ilikua poa sana kwangu ila eid mubarak wote
eid mubarak mashehe na wasio waumini wote wakiislam
jana mabo yalikua safi sana nilikua ki ostadh kabisa kwakua lazima niwaunge mkono waislam kwakua kabla ya hapa nilipo nilikua islamik ndio mana nawapenda nawaunga mkono ijapokua mimi kwa kwasasa nimkristo msabato tena..
hapa nilikua nipo masjid naswali iddi
hapa nilitoka leo nilikua namarafiki zangu 1.flora 2.steven 3.bakari na agness
Subscribe to:
Posts (Atom)