Translate this blog in your favourable language

My pager view

Saturday, September 18, 2010

ndoa ni jambo muhimu kama ukijipanga kabla ya ndoa

steve used to say...kila anaeingia katika ndoa bila shaka amejipima akaona kuwa anaweza akahimili mikikimikiki ya ndoa ila ndoa nyingi huvunjika kwakua wawili hao inawezekana walimuakukurupuka kisha wakaoana mwishowe maji ya shingo wanakimbiana..

Tuesday, September 14, 2010

maisha ya vichekesho wakati mwingine yanatutia woga

kama unavyo muona huyu punda anaongea na simu sana hii inamaanisha nini kama sio mwisho wa dunia jamani mimi binafsi najua siku inakuja na lazima itatokea ila sasa woga ni muhimu kwakua hakuna asiependa  ugali ndio mana
nasema hivi vichekesho wakati mwingine vinatuogopesha... hebu muone punda anaongea na simu.

Monday, September 13, 2010

yaliyotokea kwa mwisho mwampamba yaendelee mpaka atakapo ipeperusha bendera ya taifa vema


hata kwa richad alikua akiingia kikaangoni mara kwa mara ila mwisho wa siku akaibuka kidedea na hii tuifanye kwa mwisho kwa kumpa support yakutosha hasa anapo ingia kikaangoni ni lazima tuungane pamoja kumpigia kura abaki ndani ya jumba la big braza au sio pamoja daima tutafika  mimi nia wakwanza kupiga kura abaki bado wewe safari ijayo upige kura kama ataingia kikaangoni.........

Saturday, September 11, 2010

jamani idi ilikua poa sana kwangu ila eid mubarak wote

 eid mubarak mashehe na wasio waumini wote wakiislam


jana mabo yalikua safi sana nilikua ki ostadh kabisa kwakua lazima niwaunge mkono  waislam kwakua kabla ya hapa nilipo nilikua islamik ndio mana nawapenda nawaunga mkono ijapokua mimi kwa kwasasa nimkristo msabato tena..
baada ya kula msosi nilitika na kwenda beach kuuza nyago
hapa nilikua nipo masjid naswali iddi

hapa nilitoka leo nilikua namarafiki zangu 1.flora 2.steven 3.bakari na agness


Thursday, September 9, 2010

mavazi ya kareena kapor yawashangaza waumini wa kiislam



katika hali ya kushangaza sana muigizaji mashuhuri nchini india kareena ameendelea kuvaa mavazi ya ajbu wakati waislam bado wangali katika mfungo wa mwezi wa ramadhani na hii imekua gunzo sana kwani dada huyo pia inasemekana ni muislam lakini ambae hajashika dini kwa sana,. na sio huko tu hata wabongo mavazi yetu wengi hayaridhishi hasa akina dada jamani tuheshimu wenzetu hata kama hatufungi...