Translate this blog in your favourable language

My pager view

Thursday, September 2, 2010

jamani tanga ina raha yke hasa pale unapokubalika na marafiki

jamani hapa ni kwa maswahiba wangu huwa nafanya kazi zangu hapa
napenda sana niwaambie wale wote ambao wako karibu na mimi wanipe sapot kama kawaida jamani kwani shavu lao nalikubali sana na natumai hata ambao hawajawahi kua karibu na mimi wanaweza kwa kutembelea blog hii na kama vipi unaweza kunitumia email ama sms 0719507240 kama upo pamoja na mimi.

Wednesday, September 1, 2010

utalii ni jambo muhimu san hapa duniani kwani zingine zinatukumbusah zamani [tourism]

sehemu nyingi sana ndani ya tanzania kuna vivutio vingi vya utalii na kama mji wa tanga ambapo naishi mimi kuna sehemu nyingi san za kitalii kama mapango ya amboni ambayo naweza sema ni ya pekee kabisa duniani na yanayopatikana huko ni ya ajabu kama siku ukitembelea tanga jabibu utaona ni jambo zuri na la kifahari fanya utalii wa ndani kama kwenda nje hauwezi ukija tanga nitakupa kampani nzuri sana... tuwasiliane stevenmruma@hotmail .com ...

Monday, August 30, 2010

jamani hii ndio timu ninayoshabikia hapa bongo ulay ni chelsea



kila mtu anatimu yake anayoipenda kama mimi naizimia yanga ya bongom huku ulaya nikila shavu na the blues chelsea napia nipenda sana real madrid na pia intermilan ya iyalia zaidi ya hapo sina club ya mpira ninayoipenda sana na timu za taifa taifa sters ndio chaguo la kwanza ..

police afumwa akitaka rushwa ya ngono na mke wa mtu huko majuu

rushwa ni mchezo ambao upo dunia nzima kuna rushwa za aina nyingi sana mfano rushwa ya ngono nk... polisi mmoja aitwae oscar ravanelor alifumaniwa na mke wa mtu akidai rushwa ya ngono na askari huyo alinaswa na kamera na kupata tukio zima la kudai na kupokea rushwa ya ngono kutoka kwa mke wa mtu ambae alikubali kwa hiari yake ili afutiwe kesi ya kuendesha gari kwa kasi huku mumewe kupigwa na butwaa baada ya kusikia tukio hilo...

Sunday, August 29, 2010

mambo ya wikend full sherehe kwa ambao hawafungi zilikua kama kawa

FLORA AKIUZA SURA

 ANAPOKEA CHETI
 MIMI NA WAJINA WANGU STEVEN
 HAPA NAKULA NILIKUA KOBE
BEKA NA FLORA WANAUZA
wakati napita pita nikabahatika kualikwa katika sherehe moja ya mahafali ya kidato cha nne ambapo palikua pia na swahiba wangu bakari wote tuliunga katika mahafali hayo ambayo mgeni rasmi alikua mgombe wa chama fulani jina bwana MSULWA. HUKU VITUKO VIKIWEPO KAMA KAWAIDA...