hapa nilikua geto nimelala si akanipigia zay akaniambia she want to know me
but you have to know that ilove zay so much that is why i do that i did

sijali sana nilikua naona aibu kupiga picha hata kama nilikua mwenyewe
kama walivyo sema lakini jamani sipendagi kuuza sura ndoi mana sina picha achilia mbali za kwangu za blog hata home huwa sina utaratibu wa kupiga picha ila jana kuna mtu muhimu sana kwangu anaitwa zaina kichungo from dsm for sure she make me do that u see nimeamua kuwaka picha zangu ambazo nimepiga na simu yangu ya mkononi ila du mh.. oke say steve baada ya kuniview...
nilitamani nisipige ila wadau wanahitaji si jinsi kwakua nipo kwa ajili yao

usihanae nilikua katika mavazi tofauti kwakua nyingine nimepiga leo asubuhi wakati nimetoka kuamka