1. kwa mara ya kwanza ndani ya mechi sita bila kufungwa goli lolote jana hatimaye jabir azizi akakata mziziwa fitna akavunja rekodi muhimu ya brazil hapo jana.
2.kinyume na mazoea ya wengi kuwa polisi huwa wanaangalia mashabiki kwa ajili ya usalama jana ilikua nitofauti kwani walijisahau mpaka shabiki akashuka jukwaani na kuingia uwanjani bila kikwazo na njemba hiyo kujizolea umaarufu.
3. kinyume piana matarajio ya wachambuzi wengi kuwa kaka na robinho wangecheza kipind kimoja jana walikipiga dakika zote 90. yapo mengi ila leo chukua hayo...
Translate this blog in your favourable language
My pager view
Tuesday, June 8, 2010
mambo matatu muhimu yakuyafahamu ktk mechi ya tanzania na brazil
1. kwa mara ya kwanza ndani ya mechi sita bila kufungwa goli lolote jana hatimaye jabir azizi akakata mziziwa fitna akavunja rekodi muhimu ya brazil hapo jana.
2.kinyume na mazoea ya wengi kuwa polisi huwa wanaangalia mashabiki kwa ajili ya usalama jana ilikua nitofauti kwani walijisahau mpaka shabiki akashuka jukwaani na kuingia uwanjani bila kikwazo na njemba hiyo kujizolea umaarufu.
3. kinyume piana matarajio ya wachambuzi wengi kuwa kaka na robinho wangecheza kipind kimoja jana walikipiga dakika zote 90. yapo mengi ila leo chukua hayo...
chile national team still wants to show wonders in sout afrca
timu ya taifa ya chileikotayarikabisakukwaana natimu yoyote katika kombe la dunia hii inatokana na mazoezi mazito ambayo timu hiyo mpka sasa inakua inayafanya wachezaji wakofit wote piawanaari ya kufanya maajabu nakutwaa kombe hilo ambalo iwapo itatwaa itakua ni mara ya kwanza kwao kutwaa kombe hilo ambalo brazil ndio inayo ongoza kutwaa mara nyingi mara 5...na hii ndio picha wakiwa mazoezini mapemawiki hii..
kanu hachoki mi naona akawe kocha msaidizi
nwanko kanu is one among 23 players selected to his coach standing help nigeriato fighting for world cup 2010 but theage of kanu and his possition i think may be he will be assistant coach of nigeria or may be he is going to look funs player. but to get chance of play its very diffcult... but let waits...
have a new movie you have to got it
Monday, June 7, 2010
vivazi vinavyotega halafu ndio vinapendwa kama kula
ukiangalia katika mavazi ambayo yanapendwa sana hata nyumbani mtoto akiondoka mama yake ama baba yake anakaa kimya huku akijua kiheshima vazi lile sio zuri ila anampa uhuru wa kijinga mwanae akatege watu halafu akipata mimba , ukimwi nk. ankua wakwanza kulaumu kana kwamba wakati mwanae akiwa ktk mavazi ya ajabuajabu yeye hakuwepo ,, jamani wazazi tubadilike tuwe wakwanza kuwakemea watoto wetu hasa wakike ili angalau wajiheshimu na mitaani pia waheshimiwe,.usione soo sema nae....
Subscribe to:
Posts (Atom)