Wakati maombezi yanafanyka katika makanisa mbalimbali inaonekana wanawake wengi sana kuangka sababu ya mapepo,, sana hizi ndizo sababu zinazowafanya wao kupata mapepo kirahisi na kujikuta wanaanguka katika maombi mara nyingi yanapo fanyika
1. kuvaa na kupenda sana vitu vya shetani hasa vitu vya FREEMASON kama ifuatavyo .
Nywele bandia (mawigi, rasta) ni za FREEMASON, nguo zote za ajabu (vibode,vitop,nguo za kubana kwa jinsia
zote) ni FREEMASON, Haki za wanawake ambazo mkutano wake ulifanyka huko BEIJING ni wamasonia, Ala na
vyombo vya miziki ni wamasonia na kunengua majukwaani na ndombolo au hizi DISCO za
YESU ni wamasonia, Mitindo ya unyoaji nywele,uvaaji heleni na kusuka
nywele kwa vijana pamoja na kuvaa mikufu kwa vijana wa kiume ni
wamasonia, Mashoga, mamiss,”wachungaji wanawake” ni mipango ya
wamasonia, Mahakama ya THE HAGUE pamoja na haki za binadama ambazo ni
kinyume na sheri za mmiliki wa kila kitu (GOD) ni wamasoni.
Kutokana na sababu hizo hapo juu asilimia kubwa ya wanawake ndio wanahusika hapo na kati vilivyoolodheshwa hapo juu ni vigumu sana ama hakuna kabisa ukakuta mwanamke hana moja kati ya hayo,, tena kuna msemo wa kujidnganya mimi naweza sema hivyo eti kila utakachonunua lazima ukitakase kinakuwa safi ,, SHETANI HATAKASIKI NA KAMA INGEKUA HIVYO UKITAKA KUZINI NA MKE WA MTU MTAKASE BASI HALAFU ZINI AU KANUNUE VIROBA VITAKASE NA KUNYWA, KWA MANTIKI HIYO SASA KILA UTAKACHOKIFANYA KAMA ULIKITAKASA SIO DHAMBI JAMBO AMBALO SI KWELI KABISA, jambo la kuzingatia hapa ni kwamba ili tupone na hili ni lazima tuepukana na hayo yote, leo waliofungwa akili na hetani ukimwambia kusuka ni dhambi atakuonamshamba wakati biblia hairusu hilo la kusuka nk,, nawakumbusha Dada zangu wanaomkufuru MUNGU kwa kujiongezea uzuri kwa kujichubua kusuka mitindo ya ajabu kuvaa mavazi ya ajabu nk, hiyo NI ISHARA YA KUMKOSOA MUNGU KAMA ALIKOSEA WAKATI ANAKUUMBA SASA UNAMFUNDISHA AMA KUMSAHIHISHA KUA ANGEKUUMBA UKAVYO WEWE,, OLE WAKO WEWE UNAEMKUFURU MUNGU KWA MAMBO HAYO..,