Translate this blog in your favourable language

Saturday, May 5, 2012

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2011 YALIVYOKUWA.Haya ni matokeo ya kidato cha sita ambayo idadi ya ufaulu imeongezeka kulinganisha na mwaka jana na sekondari za serikali walau zimejitahidi 

Haya ni majina ya wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani hiyo.
Muhagachi Chacha (Kibaha), Samwel Katwale (Mzumbe), Amiri Abdalah (Feza Boys), Aron Gerson, Shaban Omary wote wa Tabora Boys, Kudra Baruti (Feza Boys), George Assenga (Majengo), Comman Nduru (Feza Boys), Francis Josephat (Tabora Boys) na George Felix (Mzumbe. wengine ni kama ifuatavyo
Doreen Kabuche (Benjamin Mkapa), Rahabu
Mwang'amba (Kilakala), Mary Moshi (Kifungilo Girls) Nuru Kipato (Marian Girls) Zainabu Hassan (Al-Muntazir Islamic),Catherine Temu (Ashira), Anthonia Lugomo (Usongwe), Cecilia Mville (Kifungilo Girls), Mariam Matolwa (Kilakala) na Suzan Makoi (Tarakea).

na hizi ndizo shule kumi bora:
Feza Boys, Kifungilo, Kibaha, St.
Mary's Mazinde, Ilboru Tabora St. Mary Goreti, Mzumbe na Mafinga na kwa upande wa shule zilizofanya vizuri katika kundi la zile zilizokuwa na watahiniwa chini ya wanafunzi 30 ni Uru Seminary, St. James Seminary, Maua Seminary, Same seminary Dungunyi Seminary D.C.T Jubilee St. Joseph-Kilocho Seminary, Mlama na Masama Girls.


 


   Angalia matokeo ya kidato cha sita 2011 kwa ku click hapa
Post a Comment

Google+ Badge