Translate this blog in your favourable language

Monday, January 17, 2011

C PWAA FEAT MS TRINITY,NGWAIRNA DULLY VIDEO BORA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA HII HAPA ICHEKI

THEFANTASTIC VIDEO FROM TANZANAI  kiukweli dully na mwanadada trinity wamefunika mbaya na kuifanya nyimbo hiyo kuwa kati ya nyimbo bora kabisa wakati huu tunaanza mwaka na kwakweli c pwaa na wachirika wake hawa wameanza kwa kishindo na hii ni dalili nzuri sana angalia video halafu niambie kama kuna video ya kitanzania inafikia viwango vya video hii kwangu mimi hakuna .... na hii video haina tofauti sana na video za nje kama marekani nk. ipo juu na hakuna ubishi.....
Post a Comment

Google+ Badge