Translate this blog in your favourable language

Wednesday, August 18, 2010

jiji la tanga limeingia kwenye mchakato wa usafi

usafi ambao umefilisi walio wengi hasa watu walio na kipato cha chini akina mama wamevunjiwa magenge yao na mgambo wa jiji vijana ambao ni nguvu kazi wamefukuzwa ktk sehem zao za kibiashara na imewatia katika umaskini kwani wengi wao wapo mjini kwakutegemea biashara ambazo tayari wengi wao wamefilisika na kuwepo na hatari ya kuibuka wimbi la wizi kutokana na vijana wengi kukosa ajira

hizi ni baadhi ya picha zikionesha jiji la tanga katika maeneo ya bandari jijini tanga
Post a Comment

Google+ Badge