Translate this blog in your favourable language

Friday, August 27, 2010

hawa ndio nguli wangu wa muziki bongo na hakuna anayeweza jaribu

unapomzungumzia muziki wa bongo kiukweli hutakosa kuwataja hawa fa na ay ni wasanii ambao wanatisha na ndi pekee wanaturusha nje ya nchi na kadhalika mimi kama steve nasema hawa ndio nguli wa muziki na wapo kikazi zaidi na wala sio mauzo  kama baadhi ya wasanii  big up kwenu...
Post a Comment

Google+ Badge