Translate this blog in your favourable language

Thursday, May 27, 2010

wanawake na nafasi yao ktk jamii na namna wlivyo na mchango mkubwa kwa jamii..

wanawake huwa hawapewi vipaumbele vingi sana katika maisha ya kawaida ya kila siku ila katika pipitapita zangu nilikutana na msichana aitwae Neema wa nguvumali tanga akaniambi kufanya mwanamke awe sawa na mwanaume hiwezekani kwasababu mungu anamipaka yake binafsi. ila kazi yoyote awezayo kuifanya mwanaume bila shaka hata mwanamke anaouwezo wa kuifanya kama alivyoifanya mwanaume. akasema pia wanawake wakiwezeshwa wanaweza inabidi wapewe nguvu na uwezo wakufanya wasichukuliwe kama watu wa kawaida ambao kazi yao nikulea familia halfu iwe basi... mimi binafsi nilipenda ujasiri aliokuwa nao NEEMA akiamini ipo siku mambo yatawanyookea akina mama...
Post a Comment

Google+ Badge