Translate this blog in your favourable language

Friday, January 4, 2013

ISI H: NEWS AND ENTERTAINMENT: KWAHERI SAJUKI TULIKUPENDA ILA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI

ISI H: NEWS AND ENTERTAINMENT: KWAHERI SAJUKI: Baada ya kuugua kwa muda mrefu, hatimaye aliyekuwa muigizaji wa filamu nchini, Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki amefariki dunia jana al...

 LEO YALIFANYIKA MAZISHI YA MSANII NGULI WA FILAMU HAPA NCHINI NA AFRIKA MASHARIKI JUMA JUMA ISSA (KILOWOKO) aka SAJUKI  NA KUFKIA HITIMISHO LA MAISHA YAKE HAPA DUNIA HUKU AKIACHA SIMANZI KUBWA MIONGONI MWA WATANZANIA WENGI KUTOKANA NA KUWA MTU WA WATU NA MCHESHI SANA KATIKA MAONGEZI YAKE. KAMA ULIPATA BAHATI YA KUANGALIA MKASI EATV UNGEDHANI SAJUKI SIO WA KUFA LEO WALA KESHO KWANI AFYA YAKE ALIANZA KUREJEA KAMA MWANZO LAKINI MUNGU ANAYAKE AKAMPENDA ZAIDI NA HATIMAYE HATUNAYE TENA...
 REST IN PEACE BRAZA.
Post a Comment

Google+ Badge