Translate this blog in your favourable language

My pager view

Sunday, April 1, 2012

MATOKEO YA AWALI YA UCHAGUZI MDOGO ARUMERU MASHARIKI CHADEMA YA KIMBIZA



Matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la arumeru mashariki yameanza kutoka huku kata mabmimbali zikionyesha kuwa mgombea wa chadema Nathari Joshua anaongoza ijapo kuwa matokeo yote hayaja patikana katika vituo vyote vilivyoandikishwa.
Wakati Chadema hadi sasa ikionesha kutawala vituo vingi vya kupigia kura Kata za Mjini Arumeru hali inaelezwa ni tofauti katika Kata za Nje ya Mji ambako CCM inamatumaini makubwa. 
lakini fujo pia zaripotiwa japo ni katika maeneo machache na polisi wamefanikiwa kuzima vurugu hizo na jeshi zima la polisi linaonekana lipo tayari kukabiriana na hali yoyote ile ya uvunjifu wa amani. matokeo ya awali ni kama inavyo onekana hapa na mimi nilipita baadhi ya vituo na kukuta matokeo hayo ni kama ifuatavyo.
1. leganga kituo cha kwanza CDM 126 CCM 26... tunaelekea kituo cha pili kata ya leganga
 2. Usa river sokoni CDM - 103 CCM -29 kituo cha pili CDM 88 – CCM 41
3. USA SOKONI. CDM-103 CCM-29
KITUO B. CDM-88 CCM-41
4. Liganga A-CCM=26 : CHADEMA=114
B-CCM=27 : CHCDEMA =137
USA RIVER "A" -CCM 37: CHADEMA= 111
USA RIVER "B" -CCM 37: CHADEMA= 111
5. Magadirisho1 cdm 116 ccm 37
magadirisho2 cdm 111 ccm 37
s/m leganga cdm 142 ccm 26
maji ya chai ''a'' cdm 130 ccm 53
6. TENGERU - KITUO CHA CHAMA.
CDM-192 CCM-60 Ushirika CDM-116 CCM-56 Moivaro B CDM-149 CCM-34
7. Maji ya chai kituo A CDM 130 CCM 53 kituo b CDM 105 CCM 68 kituo C CCM 42 CDM 115 kituo D ccm 53 CDM 118 E CCM 60 CDM 105
8. Magadirisho1 cdm 116 ccm 37 magadirisho2 cdm 111 ccm 37
s/m leganga cdm 142 ccm 26 maji ya chai ''a'' cdm 130 ccm 53
9. kituo cha S/M Ambrenyi,Matokeo:: kura zilizoharibika -1,CCM-48,CHADEMA-182.
10. Kagadirisho shule ya msingi kituo cha kwanza CCM 37 na CDM 116 kituo cha pili CCM 37 na CDM 111
11. Kagadirisho shule ya msingi kituo cha kwanza CCM 37 na CDM 116 kituo cha pili CCM 37 na CDM 111
12. Kituo A kilichoko Inguseni kata ya kitatiti CDM 104 na CCM 52
13.Leganga shule ya msingi 146CDM,20CCM.
14. CDM wanaongoza hata nyumbani kwa mgombea wa CCM; Patandi kata ya Akeri.
Kituo A CCM49 - CDM 120 Kituo B CCM 50 - CDM 128 Kituo C CCM 50 CDM 127 Kituo D CCM 45 - CDM124

15. MATOKEO YA AWALI ARUMERU MASHARIKI
kituo cha nshapu 3 kata ya nkoaranga...Chadema 110,ccm 74
Kituo cha ngarasero A4..chadema 116, ccm 51
Kituo AFP - CHADEMA - 141 CCM - 32 Mbovu
Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, hakuna kura iliyoharibika.

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93, Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37
 
haya ni baadhi ya matokeo ambayo mengine nimeyashuhudia mimi mwenyewe na mengine nimeyapata katika vyombo mablimbali vya habari.
 matokeo zaidi tataendelea kutolewa usiku huu na nadhani mpaka asubuhi kitakuwa kimeeleweka.