Translate this blog in your favourable language

Saturday, September 3, 2011

SHORT UPDATED HISTOTY OF LITI TENGERU ARUSHA ( CHUO CHA MIFUGO ARUSHA) NA MIUNDO MBINU


Chuo cha mifugo Tengeru na vyuo vingine vya mifugo kwasasa vimebadili mfumo na kuwa mfumo wa chuo
kimoja chenye matawi yaani CAMPUS  pia imebadili jina na sasa chuo cha mifugo tengeru kinatambulika kama LITA yaani Livestock Training Agency TENGERU Campus. mfumo huu unalengo la kujaribu kuboresha zaidi mfumo wa vyuo vya mifugo Tanzania. Ni jambo zuri kuweka mfumo kama huo japo mwanzo utakuwa mgumu hasa kwa mfumo wa mitihani na ufundishaji kutoka term hadi semester ambayo ukifeli katika semester husika unakuwa umediscolify (DISCO) Na hii binafsi ninawasiwasi sana na serikali kupata hasara kwa wale ambao wanasoma kwa kutegemea sponsor kutoka serikalini kwani inapotokea wamefeli kama watu 20 au zaidi jambo ambalo linawezekana kutokana na idadi ya wanafunzi ilhali washalipa ada yake halafu anarudi nyumbani sifuri. sina uhakika sana lakini tuombe MUNGU yasiwakute wahusikahawa.

Haya yameonezwa na Steven Mruma Mmiliki wa Blog hii.
sasa Endelea na story iliopita
Tengeru veterinary college campus is the oldest and many graduates Moving THAT WITH THE LEVEL OF VARIOUS Academics diplomas and certificates in general ME AS I AM VERY few days ago that I have lived Tengeru ie college has found it much AND IN THIS AND SURE There are many beautiful are college VERY GOOD AND VERY GOOD SERVICE Moving There. In terms of Infrastructure University College Tengeru DEEPER STRUCTURES AND VERY good strategy although there are infrastructure TRADITIONS THAT THERE IS VERY serious defects in terms of the toilets I have read I GALANOS SCHOOL FOR BOYS AND TANGA passed VARIOUS SCHOOLS IN THE TRADITIONS OF CUT in college toilets Tengeru  is very dirty and idont know why because anm strange some how in this area. Although I sought only a short time without seeing sUCCESS FOR HEALTH MINISTER FOR LONG-TERM Academy toilets LONG BUT THIS IS ALL very dirty and it sounds BAD ODOUR AND NOR NO ACTION IF ANY that I have seen the college administration
thou and is in contact STRATEGY AND CHARACTERS TO KNOW fate of cleaner in the toilets while in other situations Hygiene is good. every good thing the band does not have defects Gaps SO defects of contamination may fade as the toilets is possible if we clean up the college should be WHO STATUS STATUS toilets clean Tengeru NOT REALLY DIFFERENT AND ELEMENTARY OR SECONDARY SCHOOLS IN RURAL Ward ....
  INCLUDING THE IMPROVEMENT Tengeru. together forever.

 kwa msaada wa marafiki hapa inakujia kwa kiswahili 
huo cha mifugo tengeru ni chuo kikongwe NA AMBACHO  KIKITOA WAHITIMU WENGI WENYE TAALUMA MBALIMBALI KATIKA NGAZI YA DIPLOMA NA CHETI KWA UJUMLA WAKE MIMI KAMA MIMI KWA SIKU CHACHE SANA AMBAZO NIMEISHI TENGERU YAANI HAPA CHUONI NIMEKUTANA NA MAMBO MENGI SANA NA KATIKA HILI YAPO MAZURI MENGI NA HAKIKA NI CHUO BORA KABISA NA KIMEKUWA KIKITOA HUDUMA NZURI SANA. 

KATIKA SUALA LA MIUNDO MBINU CHUO CHA TENGERU KINA MIUNDO MBINU MIZURI SANA NA JAPOKUWA KUNA MIUNDO MBINU BORA HIYO ILA KUNA KASORO KUBWA SANA KATIKA SUALA LA VYOO MIMI NIMESOMA SHULE YA WAVULANA YA GALANOS TANGA NA NIMEPITA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA KATA ILA HALI YA VYOO KATIKA CHUO CHA TENGERU NI MBAYA  NA SIKU MFAHAMU KWA SABABU YA MDA MCHACHE JAPO NILIMTAFUTA PASI NA MAFANIKIO KUMUONA WAZIRI WA AFYA WA CHUO HIKI KWA MUDA MFUPI HUU LAKINI VYOO MUDA WOTE NI VICHAFU SANA TENA HASA CHOO AMBACHO KIPO KARIBU NA KARAKANA YA CHUO AU NJIA YA KWENDA NAMBALA KATIKA DARASA LA LECTURE ONE HALL NA CHA AJABU KARIBU NA COORDINATION OFFICE NA KWA USHAHIDI NITAWEKA PICHA ZA UCHAFU HUO KAMA WAHUSIKA HAWATACHUKUA JITIHADA ZA KUBADILI HALI MBAYA YA UCHAFU ULIOPITILIZA KATIKA VYOO HIVYO . LAKINI KWA VYOO VYA MABWENI WANCHUO NAO LAZIMA WAWE MAKINI NA WAVITUMIE BILA KUVICHAFUA KWANI TABIA HIYO PIA IMEZOELEKA, UMAKUTA MTU CHOO HALA HANA MAJI NA VYOO NI VYA KUFLASH PATA PICHA. KWA HAYA YOTE SIONI HATUA ZOZOTE AMBAZO NIMEZIONA KAMA UONGOZI WA CHUO UMEFANYA 
NA NIPO KATIKA MKAKATI WA kuwasiliana NA WAHUSIKA KUJUA HATMA YA USAFI KATIKA VYOO ILHALI KATIKA MAZINGIRA MENGINE USAFI NI MZURI NA . kila kitu kizuri hakikosi kuwa na kasoro KASORO SO KASORO YA UCHAFU WA VYOo uaweza kuisha KAMA UWEZEKANO UPO tukisafishe chuo KIWE NA HADHI KWANI HADHI YA VYOO VYA TENGERU HASA kwa usafi HAINA TOFAUTI NA SHULE ZA MSINGI AU SEKONDARI ZA KATA HUKO VIJIJINI....
 PAMOJA KATIKA KUIMARISHA TENGERU. pamoja daima.  
Post a Comment

Google+ Badge