Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, August 31, 2011

would like to thank FOR PARTICIPANTS IN THE FUNERALS OF MY BROTHERS

IMAGES OF MY BROTHERS late LAWRENCE.



BAADHI YA WAOMBOLEZAJI AKIWEMO MAMA YANGU ALIEBEBA MTOTO  AMBYE PIA NI MDOGO WANGU
TAREHE 24 AGOST MWAKA HUU NILIPATA MSIBA KWA KUFIWA  NA KAKA YANGU NA ALIZIKWA TAREHE 25 AGOSTI jioni YA JIONI NA KIFO CHA KAKA YANGU HUYO KILIKUWA NI CHA GHAFLA SANA KIASI KWAMBA NILIHISI KUCHANGANYIKIWA KWANI NILIONGEA NA KAKA KWA SIMU USIKU WA TAREHE 23 MPAKA SAA 4:00 USIKU AKIWA MZIMA NA WALA HAKUSEMA KAMA ANA TATIZO NA tulizungumza MENGI SANA ILA CHA KUSHANGAZA ASUBUHI  iliofatia YAANI TAREHE 24. SAA 10:OO  ALFAJIRI NILIPIGIWA SIMU KUWA KAKA YAKO AMEFARIKI SIKUAMINI NA NILIHISI LABDA NIPO NDOTONI LAKINI WINGI WA SIMU ZILIZOINGIA ZILINIFANYA NIAMINI KUWA KAKA YANGU AMEFARIKI DUNIA.
NILIKUWA ARUSHA NA ILINILAZIMU KURUDI NYUMBANI KWA AJILI YA MAZISHI YA KAKA YANGU KIPENZI AMBAE ALIZALIWA TAREHE 22.12.1982 NA AMBAE AMEACHA WATOTO WAWILI TENA WAKIWA NI WADOGO SANA CHINI YA MIAKA MINNE KWANI KILA MMOJA ANA MAMA YAKE.
rest in peace brother
WAKATI WA UHAI WAKE MAREHEMU ALIKUWA NI NGUZO KUBWA SANAKWAMAISHA YANGU KWANI WAKATI NASOMANILIKUA NAISHI NAE MAISHA YA KIGETO ZAIDI YA MIAKAMITATU NA ALIKUA MHIMILI MKUBWA SAN NA KIFO CHAKE KILIKUWA NI CHA GHAFLA KIASI KWAMBA NILIHISI KUCHANGANYIKIWA KWANI KAKA YANGU HUYO HAKUUGUA HATA KIDOGO NA WALA HAKUSEMA KAKAALIKUWA NA TATIZOKWANI ALIKUWA AKIFANYA KAZI ZAKE AKIWA NA AFYA NZURI KABISA. MPAKASASA KIFOCHA KAKA YANGU HUYO BADO NI KITENDAWILI AMBACHO HAKINA JIBU NATUMEAMUA KAMA FAMILIA TUMWACHIE MUNGU NA TUAMINIKUWA YOTE YANAFANYWA NA MUNGU NA MUNGU ALIMPENDA ZAIDI YETU NDIO MANA ALIAMUA KUNCHUKUA KWA HERI KABISA. NA HIVYO NDIVYO NGUZO YA KAKA YANGU ULIVYOANGUKA TENA IKIWA BADO NAIHITAJI KWANI KATIKA KUZALIWA KATIKA FAMILIA YETU ALIKUWA WAKWANZA NA KISHA KUFUATIWA NA WADADA WAWILI MAGE NA ANNA KISHA NIKAZALIWA MIMINA KUNA WADOGO ZANGU WAKIUME TENA WAWILI MAMBAO BADO NAO NIWADOGO SANA. NA KWANIA NJEMAWAPO WENGI SANA AMBAO WALISHIRIKI KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KATIKA MAZISHI YA KAKA YANGU NA WALIKUWA NA MIMIKATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU SANA CHA MSIBA WA KAKA YANGU AMBAO BADO UMEENDELEAKUNIATHIRI KISAIKOLOJIA KUTOKANA NA UGHAFLA WAKE SIWEZI KUTAJA MAJINA YAO WOTE ILA KWA UCHACHE KUNA MASHANGO KIBWANA MAJID AMBAE ALIKUWA NA MIMI BEGA KWA BEGA MUSSA QADARI, RASUL SANDALA, SEFU, MWARABU NK.
KITANDA CHA AMANI ALICHO LALA KAKA
WOTE KWA PAMOJA NAZIDIKUTOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATIKUTOKAKATIKA FAMILIA YA MRUMA. MUNGU AWABARIKI KWANI SAFARI NI YETU WOTE NA MWENZETU AMETANGULIA SISI TUPO NYUMA YAKE. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINALAKE LIHIMIDIWE. AMEN

Monday, August 22, 2011

TANZANIA TOURISM AND ITS BENEFITS FOR VISITORS AND COUNTRY OVERALL


zanzibar beach
Tanzania country with a lot of tourist attractions and in some centers that I have visited a lot of amazing things recently and I have witnessed many things bagamoyo including historic buildings which slaves were kept, etc.. but I also get to witness Amboni caves where there also are signs of such conditions on a fountain of hot water, a symbol of the human foot, pictures of the shapes of symbols like the lion ships and even the genital area of humans. and many other things I also fortunate to Manyara, where I also saw things very much astonished at thee lion riding on trees and see the giraffes and so many animals. 
I also go witnessing goals birds are found in abundance here tanzania flight of flamingos, which are also found in Manyara. My trip is still very great, although I am in Arusha school first, but I leave I look ten Selous and Katavi also to witness a lot more to see and appreciate the heritage of a Tanzanian.Maisha ya Watanzania wa leo na vizazi vijavyo, yanategemea maliasili ya nchi. Tanzania imebahatika kuwa na rasilimali nyingi ikiwemo misitu, wanyamapori, mito, maziwa na maeneo kinamasi. Rasilimali hii ni muhimu kwa utoaji wa huduma kiuchumi na kijamii. Kufifisha rasilimali hii ni kuharibu mazingira endelevu ya shughuli za kiuchumi. habari hii itaendelea baada ya utafiti na kujaribu kutembelea sehemu husika hivi karibuni itakuwa tayari.

Sunday, August 14, 2011

HISTORY OF FIDEL CASTRO FOMAL PRESIDENT OF CUBA.


Fidel Castro was born on 13 August 1926 in the south-eastern Oriente Province of Cuba. He was the son of a successful sugar planter. Castro studied law at the University of Havana. He intended to run in elections scheduled for 1952, but the government was overthrown by General Fulgencio Batista and the elections cancelled. Castro rejected democracy and declared himself in favour of armed revolution. In 1953, Castro and his brother Raúl led an unsuccessful rising against Batista and Castro was sentenced to 15 years in prison. He was released under an amnesty and fled to Mexico, where he was joined by an Argentinean Marxist Ernesto 'Che' Guevara.

In 1956, Castro and Guevara landed in Cuba with a small band of insurgents, known as the '26th of July Movement', and began a guerrilla war against the government. In December 1958, Castro launched a full-scale attack and Batista was forced to flee. In February 1959, Castro was sworn in as prime minister of Cuba and announced the introduction of a Marxist-Leninist programme adapted to local requirements. Thousands of Cubans went into exile, mostly to the United States.
Antagonism grew with the US and the Americans imposed economic sanctions on Cuba in 1960. Relations reached crisis point with the CIA-sponsored Bay of Pigs invasion by Cuban exiles in April 1961, which failed. Castro then secretly allowed the Soviets to build sites for nuclear missiles in Cuba, leading to the Cuban Missile Crisis of 1962, when the US and the Soviet Union came very close to war. 

Despite his dictatorial style of government and ruthless suppression of opposition, Castro remained popular in Cuba. Many Cubans benefited from the free education and healthcare programmes he introduced. Cuba received considerable economic support from the Soviet Union. In 1976, Cuba's National Assembly elected Castro President.
Through the 1970s and 1980s Castro emerged as one of the leaders of the non-aligned nations, despite his obvious ties to the Soviet Union. However, the end of Soviet aid in 1991 led to a continued economic crisis in Cuba. Some foreign investment has been allowed, especially in tourism, and the money sent home by exiled Cubans is crucial. Castro stood down as President of Cuba in 2008 - passing the baton to his younger brother Raúl Castro.
 Castro has been leader of Cuba since 1959, when he created the first communist state in the western hemisphere. He is the world's longest-serving leader.
Fidel castro teach us the following: 
First, as Castro teaches us, revolution means a fundamental rupture with — or violence perpetrated on — a given mode of production in order to inaugurate a new one as well as inaugurate new epistemic-cultural modes of production and exchange in the interest of the total liberation of humankind. And revolution is not a product but a process that calls for continuously creative and critical interventions. As Castro puts it in his On Imperialist Globalization: ‘We, the revolutionaries, have discovered an even more powerful weapon: men think and feel.’