Translate this blog in your favourable language

My pager view

Tuesday, October 26, 2010

KAMA UTAONA RAHA BASI NI KUWEZA KUISHI MAISHA AMBAYO UNAYATAKA BILA MITIHANI YA DUNIA

wapo watu ndani ya dunia hii wanakutana na mitihani migumu sana HAYATI  Luck Dube, Senzo,Bob Marley na leo tumempoteza na huyu ISAAC GREGORY alipitia maisha ya misukosuko na aliweza kusimama imara mpaka alipofikia ila makala kuhusu isaac inakuja isubirie mungu amlae mahali pema peponi amina.