Translate this blog in your favourable language

My pager view

Tuesday, September 7, 2010

jamani hii ndio bongo na bongo flavour yake

bongo land na mamboyake ukifulia tu walewale ulio wategemea ndio wakwanza kukukimbia .
steve used to say...unapofulia hata marafiki wanakukimbia na hii nahisi huwatokea wasanii wengi sana lakini kwa mr. nice imezidi mbona hawa wa filamu sisikii sana matukio yao ya kupigwa labda kupigana kama ya mlela na hemed ila naona kama siku mtu kama the great akifulia sijui itakuaje simuombei coz ni fun wangu wa ukweli nampenda san na pia kama akina ay binam cpwaa suma lee na so much atist.

tukio la mr. nice kupigwa wadau wengi watoa maoni yao


huwa najiuliza ni maisha gani ambayo nice anaishi maisha ya kuonewa na watu au life style yake watu hawaipendi mana wangine wanasema ana maringo sana nk. so kama anmaringo jamani si yake unampiga wa nini huo ni ushamba na kama ningekua mahakama halafu nawakamata watu kama hawa nawafunga miaka 10 ili wakitoka wasipate muda wa kufatilia ya huyu jamaa kwakweli tumuache aishi kama navyo taka na sio kama mnavyotaka nyie ila kilicho niuma zaidi ni kumpiga picha akiwa uchi imeniuma sana