Translate this blog in your favourable language

My pager view

Monday, August 30, 2010

jamani hii ndio timu ninayoshabikia hapa bongo ulay ni chelsea



kila mtu anatimu yake anayoipenda kama mimi naizimia yanga ya bongom huku ulaya nikila shavu na the blues chelsea napia nipenda sana real madrid na pia intermilan ya iyalia zaidi ya hapo sina club ya mpira ninayoipenda sana na timu za taifa taifa sters ndio chaguo la kwanza ..

police afumwa akitaka rushwa ya ngono na mke wa mtu huko majuu

rushwa ni mchezo ambao upo dunia nzima kuna rushwa za aina nyingi sana mfano rushwa ya ngono nk... polisi mmoja aitwae oscar ravanelor alifumaniwa na mke wa mtu akidai rushwa ya ngono na askari huyo alinaswa na kamera na kupata tukio zima la kudai na kupokea rushwa ya ngono kutoka kwa mke wa mtu ambae alikubali kwa hiari yake ili afutiwe kesi ya kuendesha gari kwa kasi huku mumewe kupigwa na butwaa baada ya kusikia tukio hilo...