Translate this blog in your favourable language

My pager view

Friday, August 20, 2010

lil wayne asikitikia maisha yake ya jela asema jela ni shimo usilitumbukie

jela kiukweli ni fundisho ndio mana wengi walioenda huko hubadilika ijapokua kuna wale nundaz yani hata umfunge miaka 10 bado akitoka atakua mhalifu hii iko tofauti sana na msanii lil wayne yeye anasema jela imekua ni fundisho la maisha kwake....

kiukeli kwsasa tanga iko safi ila ndio hivyo maskini wamenyongwa ili matajiri wafurahi


jiji la tanga kwasasa liko safi sana ila wapo watu wengi ambao wameumia na wameanguka kiuchumi kutokana na biashara zao kuondolewa ama kuvunjiwa biashra zao nilipita maeneo mengi nikakuta kuko kimya sana na zile mishe za mjini zote zilipungua na hali hii inatishia wimbi kubwa la wizi ama uzururaji kutokana vijana wengi wameharibiwa biahara zao..