Translate this blog in your favourable language

My pager view

Monday, August 16, 2010

kuna habari nyingi za premier league ya uingereza na pia indian movie na so much zinakuja


steve used to say...

hawa ndio walioshika movie duniani


 hawa ni baadhi ya waigizaji wa india..

watu wakwanza kurekod video duniani inasemekana ni wahindi ambao mpaka sasa bado wanaishika dunia na movie zao kali na zenye hisia kali sana kama ulikua hujui basi tambua kua wahindi ndio wajanja wa filamu dunia hii  kiukweli wako juu hasa ninao wajua mimi akina sunnil deol akina shilpa shety kareenal  amita, na wngineo wengi wanasoko zuri la filamu dunia nzima

katika wachezaji ninaowapenda zaid ni huyu kiukweli anatisha

didie drogba wa chelsea
didier drogba ni nyota wa ivovy anayetesa sana uk ila kiukweli ni bonge la jembe kwani ameweka record ya kufunga hat-tric  katika mechi za ufunguzi wa ligi huku akiwa bado ni kinara wa mabao ligi iliyoisha huku timu yake ikiwa na ubingwa wa uk..