Translate this blog in your favourable language

My pager view

Sunday, August 15, 2010

yapo mengi mapya ila kiukweli mavazi haya na mitindo hii tuangalie na wakati

 mavazi haya ya picha ya juu yanakera na mi binafsi yananiboa hasa pale nimuonapo mtu kavaa
huyu dada japokua ni designer ila katoka bomba sana  anaonekana mrembo vilevile sio mpaka uvae nusu uchi
jamani nidhamu haiuzwi si wote ambao tuna funga mwezi huu ila hata heshima na mitego mingine haina mana wakati napitapita ndani ya jiji la tanga wadada bado kuna shida mavazi yao yako nje ya nidham halaf ukiuliza jibu ni kwamba mimi sio muislam duh? muenendo huon sio ishu kabisa mi naona jabibuni kujiheshimu wadada na akikina kaka na nyie mitusi muache yani kila kona hasa usiku waungwana mavi huachia mitusi mizito. yani utafikiri tunatembea uchi... am out na message sent...................

leo sina ishu kali so niponipo kiaina ila msinichoke

ila akina jafarai na wengineo nimezilizimia kolabo lao..
haw hapo pichani wauza sura wametaka kolabo
steve used to say...mvumilivu hula mbivu     jamani mbivu zanakuja zipo njiani  so poa naja kama sqeez....

unamjua vuvuzela aliekua anafanya tangazo la fiesta?

huyu ndio vuvuzela

kama hafananii ila kiukweli ndo vuvuzela wa bongo ni mtu jamani sio kifaa cha kupuliza ni bint ambae anafanya kazi clouds fm ya dsm ni mkali kiukwkeli namkubali coz nlizani ni dj fety ila duh kumbe ni huyu  hapa pichani hebu muine bonge la ostadhat.

mi ndio nilio andika sio kama mi ndio vuvuzela