Translate this blog in your favourable language

My pager view

Monday, June 7, 2010

vivazi vinavyotega halafu ndio vinapendwa kama kula

ukiangalia katika mavazi ambayo yanapendwa sana hata nyumbani mtoto akiondoka mama yake ama baba yake anakaa kimya huku akijua kiheshima vazi lile sio zuri ila anampa uhuru wa kijinga mwanae akatege watu halafu akipata mimba , ukimwi nk. ankua wakwanza kulaumu kana kwamba wakati mwanae akiwa ktk mavazi ya ajabuajabu yeye hakuwepo ,, jamani wazazi tubadilike tuwe wakwanza kuwakemea watoto wetu hasa wakike ili angalau wajiheshimu na mitaani pia waheshimiwe,.usione soo sema nae....

maisha ya kutegana ndio hasa yanafanya juhudi za kutokomeza ukimwi zigonge mwamba.

mavazi ya heshima yanaweza kumfanya mtu akawa tofauti kabisa , ila katika zama hizi za utandawazi kuna mavazi, mitandao, na mitoko ya aina mbalimbali ambayo hiyo kwa wale wanao athiliwa na kuona [wanaume] huwa wanashindwa kuzuia hisia zao na mwisho wa siku wanakua wanabadili wanawake kama nguo ila mi naona chanzo chake ni mitego hasa ya kimavazi .. mfano angalia picha hiyo halafu na wewe sema kitu kuhusu hilo,,... am out..

vigezo ambavo kwa mara ya kwanza mtu huwa anaviangalia ktk mahusiano

kwa misha ya kawaida tuliyo yazoea hasa vijana kifup tunapenda sana kutumia vigezo vya uzuri wa sura kwa mfano mtu anapokua na mvuto sana kila mtu atataka kua nae ktk mahusiano lakini kama hana mvuto ni ngumu sana watu wengi wakawa wanampenda na kama ni kutongozwa basi ni wachche sana ambao wanapenda kuangalia vigezo vya tabia na mambo mengine ndio watampenda na pengine kumtongoza.....