Translate this blog in your favourable language

Friday, November 12, 2010

weekend na style maalum ya kutokea ili uoneshe tofauti na siku za kazi

 ukiwa na upande wako wa pili sawa bora wikiend iwe na nuru kwako...
weekend inaweza kubadili muonekano wako kwani kwa kubadili muonekano wako na kutembelea sehemu mbalimbali inaweza ikakufanya usahau yale yaliyotokea siku za nyuma na sehemu nzuri za kutembelea ni sehem za starehe na sehemu ambazo hazina kelele kama huwa hupendi kelele na pia kukaa na marafiki ama watu wazima ambao unafikirir wanaweza kua na hekima ambayo inaweza ikakubadilisha mawazo na kupata kitu kipya ndani ya maisha yako ya kila siku...
                                                                                                  hata ukiwa hivi pia sawa
Post a Comment

Google+ Badge