Translate this blog in your favourable language

Wednesday, November 17, 2010

unajua thamani ya kutabasamu katika maisha? TABASAMU UPATE FAIDA..


kama ulikua hujui sasa tambua hili kua unapo tabasamu huwa kuna faida nyingi sana katika maisha ya mwanadamu kwa mfano unapo tabasamu kuna sensory katika ubongo zinapunguza matumizi ya kazi zake na hivyo kufanya ubongo urefresh kabisa na hili linasaidia kupunguza stress za kijinga pia tambua kua ukiwa nafuraha wakati wote unaongeza siku za kuishi mimi nakutakia skukuu njema huku ukiwa na malengo ya kutabasamu wakati wote inshaallahh MUNGU AKUJALIE KILA LA KHERI...
Post a Comment

Google+ Badge