Translate this blog in your favourable language

Wednesday, November 3, 2010

hakika hakuna raha ilioje kama chama tawala maji yanapofika shingoni mana hata wizi utapungua


steve used to say...kila palipo na wengi wa itikadi tofauti lazima watu wawe makini sana na hili ndilo ambalo limejitokeza tanzania mana hakika nina uhakika mwaka huu bungeni patachimbika tu mana vijana wapo  wapenda maendeleo wapo hata kama wizi utakuwepo ila jamani utakua na ka uwoga kidogo sio kama zamani mara epa mara richmond inauma kuona watanzania tunaliwa jasho letu ila sasa ngojeni muone kitimtim cha bungeni mwaka huu mana mpaka sasa kuna majimbo 52 ya upinzania mpaka naandika post hii viva tanzania lazima kiwake mwaka huu mjengoni...
Post a Comment

Google+ Badge