Translate this blog in your favourable language

Monday, September 20, 2010

rekodi muhimu ya wekundu wa msimbazi imevunjika rasmi....

 kikosi cha simba kikitoka uwanjani
jana hatimaye mnyama alkikubali virungu vya polisi dodoma kwa kukubali kuvunja rekod yake muhimu ya kutofungwa hata mchezo mmoja katika ligi kuu tanzania bara kwa kufungwa goli moja kwa bila na polisi dodoma katika uwanja wake wa nyumbani wa muda ccm kirumba mwanza na hivyo simba kupoteza rekodi yake muhimu sana kwani vyombo mbalimbali vya habari viliandika kua simba inataka kufuata nyayo za arsenal ya kucheza mechi nyingi baila kufungwa ila ndio hivyo bye bye rekodi ya simba....
Post a Comment

Google+ Badge