Translate this blog in your favourable language

Tuesday, September 21, 2010

leo tar 21/9/2010 ilikua ni mahafali ya 42 ya shule ya sekondari GALANOS shule ambayo nilisoma na nilikula shavu la kutosha.

baada ya kupokea cheti tulienda home kwa sherehe na misosi
 hapa ni mdogo wangu akiwa na wanafunzi wenzake katika mahafali.
 hapa ni home kwa mama mshana ambapo tulimalizia shangwe kwa misosi zaidi

dogo langu akisikiliza hotuba ya mgeni rasmihapa yalikua ni mambo ya kulishana keki na kwakweli mambo yalikua safi sana
naipenda galanos kwakua ni shule yangu na nilisoma nikiwa na furaha pamoja na wenzangu ndio mana leo nilijumuika nao katika mahafali ya 42 ya galanos ambapo nilikua pia na mdogo wangu anamaliza kidato cha nne.
Post a Comment

Google+ Badge