Translate this blog in your favourable language

Friday, September 3, 2010

leo katika face book nimekuta jambo ambalo lipo sana katika jamii zetu

yani mtu kama huyo akikamatwa live bila zengwe mnamfanya kama huyu  jamaa hapa ila sio uhisi halafu ukachukua hatua bila kidhibitisho kamili
ni dada yngu mmoja katika face book amendiak kuhusu wale ambao wanatumia njia za mkato kutaka kujinufaisha kama kuua na kuiba akazungumia tukio la kuchinja na kupora piki piki matukio haya yamekua yakitokea sana hat  mimi nimewahi kuona matukio kama haya tena kwa mtu nilie mfahamu kabisa alipigwa rungu kichwani akafa na akaporwa piki piki kiukweli leo nikumbuka mabali sana na imeniumiza roho kuona watu wanavyo uwawa kikatili kisa pikipiki.. tembelea facebook na view wall ya kissah tuntufye utaliona hili.
Post a Comment

Google+ Badge