Translate this blog in your favourable language

My pager view

Thursday, July 22, 2010

tuwe pamoja ila udikteta unasaidia wakati mwingine ila sasa minaona hauna maana

steve used to say...old is gold but if there old but if there no old, old is not gold is old
 jana wakati wagombea wakirudisha fomu kuna kituko hapa yani kifupi ukweli unauma sana coz bakari mwapachu kaambiwa punzika kama wakina mzindakaya na wengine na uwapishe damu changa vijana   . mzee akageuka mbogo na kuanza kuongea kwa jazba na kiukweli ukweli unauma mimi kama steve naona  apunzike amchoka na ni bora awaachie vijana waendeleze gurudumu hili la uongozi,,....

Wednesday, July 21, 2010

hali ni mbaya lakini tutambue kua wizi mbaya ona huyu ameishia hapa

steve used to say...wizi mzuri pale ambapo unaiba halafu hukamatiki ila siku ukinaswa utajuta kuna mmoja aliambulia kuchomwa moto hivi juzi na mara nyingi huwatokea watu wadokozi kama huyu..

Wednesday, July 7, 2010

kama kawaida nataka kuwaacha kidogo ila sio bila kuwang'arisha macko







steve used to say...ukiangalia unanenepesha macho so take this opprtnty and make your  eyes shine...

nilipotea ila majukumu yanaweza kuwa chanzo ila nazidi kusihi tuvumiliane

steve used to say...kila anaye samehe hupata msamaha najua mnanisamehe kila ninaposihi ila kama kawaida woza inaendelea jaribu kupitia steven and world cup updatesfor more info.

Friday, July 2, 2010

nilipotea lakini bado nipo nanyi na kombe la dunia kama kawa

steve used to say...kimya kingi kinamshindo mkuu na hili litadhihilika muda sio mrefu kwani kimya changu kitaibuka na jambo moja kubwa sana na bila shaka kila atakaeliona atafurahi ama kushangaa na mengine mengi