Translate this blog in your favourable language

Sunday, June 6, 2010

mikosi ya timu za africa world cup

ni habari ambazo ukisikia labda hazitakufurahisha coz michael essien ameshindwa kucheza kombe la dunia kutokana na majeruhi,, lakini haiihii hapo na didie droba nae kavunjikamkono na kuna uwezekano mkubwa nae pia akakosa kombe la dunia kwangu ni huzuni kubwa sana na wakati mwingine huwa nafikiri ni hujuma tunafanyiwa ila inabidi tuamini kua ni kama ajali ya kawaida but tuwaombee kama vipi.............
Post a Comment

Google+ Badge