Translate this blog in your favourable language

Sunday, June 6, 2010

jamani sasa hii si laana kabisa.

yaani nimepata habari ya mwanaume kuoa mwanaume mwenzake halafu dume lililo olewa limeibuka na kusema lina mimba yani hii laana sijui itatupeleka wapi ndugu zangu mimi leo nipo tanga lakini siwezi kulichukulia poa hata kidogo coz linaniuma sana kuona serikali haikulifuatilia sualahili ili sheria ichukue mkondo wake lakini wanaachwa hivi hivi halafu tunapanda majukwaani na kujigamba eti tanzania bila ukimwi inawezekana.., MIMI NASEMA KWA HALI HII TANZANIA BILA UKIMWI HAIWEZEKANI HAIWEZEKANI HATA KIDOGO...
Post a Comment

Google+ Badge