Translate this blog in your favourable language

My pager view

Friday, May 28, 2010

mambo ya pwani

pwani bwanaaa kuna vijimambo sio kitoo yaani wanawake wanashughulika kuliko vijana kama huamini pita barabarani wafanya usafi wote ni akina mama vijana na akina baba wapo kwenye kahawa ama kijiweni ila tatizo hili  lipo sana mkoani tanga kama huamini chunguza utayaona..

No comments: